KUFUNGULIWA CHUO

Rate this item
(3 votes)
KUFUNGULIWA CHUO

KUFUNGULIWA CHUO Mkuu wa chuo cha elimu ya biashara cbe anawatangazia wanafunzi wote kuwa chuo kitafunguliwa tarehe 01/06/2020 katika kampasi zake zote. Wanafunzi wa bweni wanashauriwa kuripoti kabla ya tarehe 01/06/2020 Wanafunzi wote wanapaswa kuzingatia yafuatayo: 1. Wanafunzi wa bweni wataendelea kukaa kwenye vyumba walivyopangiwa kabla ya chuo kufungwa. 2. Wanafunzi wa ngazi ya cheti na diploma1 “march intake” ambao hawajakamilisha usajili, wanaelekezwa kukamilisha usajili wao kuanzia tarehe 29 mei, 2020 hadi 05 juni, 2020. 3. Wanafunzi wanatakiwa kupakua ratiba ya masomo kwenye “saris account “ yao. 4. Wanafunzi wanashauriwa kuzingatia yafuatayo: i. Kunawa mikono kwa sabuni kila mara katika sehemu zilizotengwa chuoni ii. Kuepuka misongamano iii. Kuvaa barakoa (masks) pamoja na kutumia vitakasa mikono (hand sanitizer) watakapokuwa chuoni au popote pale penye mkusanyiko wa watu. 5. Kuzingatia maelekezo mbalimbali yanayotolewa na wizara ya afya. Maelekezo zaidi kuhusu mambo muhimu ya kuzingatia pindi wanafunzi watakapokuwa chuoni yanapatikana kwenye mbao za matangazo pamoja na tovuti ya chuo

History of CBE

The COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION (CBE) was established in 1965 by the Act of the Parliament. COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION Act No. 31 of 1965. His Excellency, J.K. Nyerere, the first President of the United Republic of Tanzania officially opened the new College in January 1965. The College was officially named the “College of Business Education” (CBE). The said Act of Parliament gives the College its legal status as an autonomous institution with its Governing Body. The College shall be governed and administered in accordance with the provisions of this Act.

CONTACT US

The origin of the College of Business Education (CBE) is closely linked to the history of the Nation itself.

Address : Bibi Titi Mohamed Rd. P. O. Box 1968, Dar es Salaam

Hotline : +255-022-2150177

light arrowCALL FOR PAPERS FOR BEDC2020, SEE DETAILS HERE