New events

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit. Aenean commodo ligula eget dolor. Aenean massa. Cum sociis natoque penatibus et magnis dis parturient montes, nascetur ridiculus mus. Donec quam felis, ultricies nec, pellentesque eu, pretium quis, sem. Nulla consequat massa quis enim. Donec pede justo, fringilla vel, aliquet nec, vulputate eget, arcu.

UTHIBITISHO WA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA NA TAMISEMI

Published in New events
Tuesday, 30 June 2020 00:00
1649 Hit
(9 votes)

WANAFUNZI WALIOPANGWA NA TAMISEMI KUJIUNGA NA CBE

Published in New events
Saturday, 20 June 2020 00:00
6426 Hit
(52 votes)

Wanafunzi waliopangwa na TAMISEMI kujiunga na Chuo cha Elimu ya Biashara CBE wanatakiwa kuzingatia yafuatayo 

1. Kuthibitisha kukubali kujiunga na CBE kuanzia tarehe 25/06/2020
2. Mwisho wa kuthibitisha ni tarehe 15 Agosti 2020.
3. Mwanafunzi atafanya uthibitisho kupitia kiunganishi kinachoitwa UTHIBISHO TAMISEMI katika tovuti ya NACTE ambayo ni www.nacte.go.tz
4. Mwanafunzi ambaye hatathibitisha kukubali nafasi aliyochaguliwa, nafasi yake itachukuliwa na wanafunzi wengine.
5. Wanafunzi wanaotaka kufanya mabadiliko ya kozi au chuo walichochaguliwa wanaruhusiwa kufanya hivyo kuanzia tarehe 01 Agosti hadi 30 Agosti 2020 kupitia mtandao wa NACTE.
6. Fomu ya kujiunga na chuo (Joining Instructions) itapatikana baada ya uthibitisho au mwanafunzi anaweza kuupakua kipitia tovuti ya chuo ambayo ni www.cbe.ac.tz

IMETOLEWA NA OFISI YA MAKAMU WA CHUO
TAALUMA, UTAFITI NA USHAURI,
CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA - CBE,
BARABARA YA BIBI TITI MOHAMMED,
S.L.P 1968,
DAR ES SALAAM.

 

KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2020/2021

Published in New events
Monday, 15 June 2020 00:00
11380 Hit
(43 votes)

Napenda kutumia fursa hii kuutarifu umma kuwa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kilichoko chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara chenye uzoefu wa zaidi ya miaka 50 katika kutoa elimu ya biashara nchini kimeanza kupokea maombi ya kujiunga na Chuo kwa mwaka wa masomo wa 2020/2021 katika kampasi zetu za Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza na Mbeya.
Masomo yataanza mwezi Oktoba 2020 katika ngazi za Shahada za Uzamili (Master’s Degree), Astashahada za juu (Postgraduate Diploma) na Stashahada (Diploma) na Astashahada (Certificate). Pia, Chuo kinatoa Stashahada (Diploma) NA Astashahada (Certificate) katika fani zifuatazo;- (i) Uhasibu (Accountancy), (ii) Masoko (Marketing Management) (iii) Usimamizi wa Biashara (Business Administration), (iv) Manunuzi na Ugavi (Procurement and Supplies Management), (v) Vipimo na Mizani (Metrology and Standardization) na, (vi) TEHAMA (Information Technology)

Sifa za Kujiunga;-
- Astashahada (Certificate), muombaji awe amemaliza kidato cha nne, mwenye ufaulu wa angalau alama “D” nne, au mwenye NVA level 3.
- Stashahada (Diploma), muombaji awe amemaliza kidato cha sita, mwenye ufaulu wa angalau alama “E” (Principal pasi moja) na “S” (Subsidiary pasi moja), Au awe amefuzu ngazi ya cheti katika chuo kinachotambulika na NACTE.
Vilevile, Chuo kinatoa Shahada za Uzamili katika fani zifuatazo;-
i) Master of Information and Communication Technology for Development (ICT4D)
ii) Master of Information Technology - Project Management (IT-Project Management)
iii) Master of Supply Chain Management (MSCM)
iv) Master of International Business Management (MIBM)
v) Master of Business Administration (MBA) in;-
 Human Resources Management,
 Finance and Banking, `
 Marketing management.

Pia, Chuo kinatoa Stashahada za Uzamili (Postgraduate Diploma) katika fani zifuatazo;-
i) Postgraduate Diploma in Business Administration (PGDBA)
ii) Postgraduate Diploma in Accountancy (PGDA)
iii) Postgraduate Diploma in Procurement and Supplies Management (PGDPSM)
iv) Postgraduate Diploma in Marketing Management (PGDMM)
v) Postgraduate Diploma in Human Resources Management (PGDHRM)
vi) Postgraduate Diploma in International Business Management (PGDIBM)
vii) Postgraduate Diploma in Financial Management (PGDFM)
viii) Postgraduate Diploma in Project Management (PGDPM
ix) Postgraduate Diploma in Metrology and Standardization (PGDMS
Maombi yataanza kupokelewa 15 Juni, 2020 kwa njia ya mtandao kupitia tovuti ya Chuo www.cbe.ac.tz Au unaweza kufika katika kampasi zetu. Gharama za maombi ya kujiunga ni shilingi 10,000/= tu na ada zetu ni nafuu na zinalipwa kwa awamu. Tafadhali, ukipata ujumbe huu mjulishe na mwenzako, wahi mapema ili usipoteze fursa hii muhimu katika maisha.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia, barua pepe: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. au piga simu: DSM 0735 250 115/ Dodoma 0767 097 463/ Mwanza 0763 296 874/ Mbeya 0652 255 633
Karibuni sana.

CLICK HERE TO APPLY ONLINE

Prof. Tandi E. Lwoga
Deputy Rector – Academic, Research and Consultancy

CALL FOR PAPERS FOR BEDC2020

Published in New events
Tuesday, 24 March 2020 00:00
7585 Hit
(1 Vote)

BUSINESS AND ECONOMIC DEVELOPMENT CONFERENCE 2020 (BEDC2020)

CALL FOR PAPERS:
We invite academicians, researchers, policymakers, and other stakeholders to send their research abstracts, papers, case studies, and posters to the 1st Business and Economic Development Conference (BEDC2020). The conference will be held at Kambarage Hall- Treasury Square Dodoma, Tanzania under the theme “Business and Economic Growth for the Sustainable Development”.

Conference focus/topics
The conference is focused but not limited to the following topics:

Small business and Poverty Reduction Investment, Industrialization, Innovation
Global value chain Economic inequality and Financial Inclusion
Entrepreneurship and business education Climate change and economic development
Gender and business management The digital economy in Africa
Employment in the informal sector Regional integration and market access
Good governance and corruption in business African social-economic development
Digital & Crypto assets (cryptocurrency) Public finance

Important Dates

Submission of abstracts (max 300 words) June 21, 2020
Notification of abstract acceptance June 29, 2020
Submission of full paper July 25, 2020
Notification of Reviewers comments September 30, 2020
Submission of revised papers October 15, 2020
Conference November 19, 2020

Conference Fees
Postgraduate and PhD candidates Tsh. 50,000 Other people Tsh. 100,000 to cover coffee/tea, lunch, and the conference package in soft copy.

SUBMISSION
Make your submission through http://cbe.ac.tz/becc/. The abstract should not be more than 300 words with names of author (s), affiliations, email, phone number, and type of presentation e.g. paper, poster, or case study. Full papers shouldn’t exceed 6000 words, follow Introduction – Method – Results – and – Discussion format.

For more information contact Dr. Petro Maziku Phone: 0754932960, website: http://cbe.ac.tz/becc/ Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. copy to This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.,

light arrowDOWNLOAD THE ADVERT HERE

History of CBE

The COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION (CBE) was established in 1965 by the Act of the Parliament. COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION Act No. 31 of 1965. His Excellency, J.K. Nyerere, the first President of the United Republic of Tanzania officially opened the new College in January 1965. The College was officially named the “College of Business Education” (CBE). The said Act of Parliament gives the College its legal status as an autonomous institution with its Governing Body. The College shall be governed and administered in accordance with the provisions of this Act.

CONTACT US

The origin of the College of Business Education (CBE) is closely linked to the history of the Nation itself.

Address : Bibi Titi Mohamed Rd. P. O. Box 1968, Dar es Salaam

Hotline : +255-022-2150177

light arrowCALL FOR PAPERS FOR BEDC2020, SEE DETAILS HERE