KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2020/2021

Rate this item
(43 votes)
KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2020/2021

Napenda kutumia fursa hii kuutarifu umma kuwa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kilichoko chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara chenye uzoefu wa zaidi ya miaka 50 katika kutoa elimu ya biashara nchini kimeanza kupokea maombi ya kujiunga na Chuo kwa mwaka wa masomo wa 2020/2021 katika kampasi zetu za Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza na Mbeya.
Masomo yataanza mwezi Oktoba 2020 katika ngazi za Shahada za Uzamili (Master’s Degree), Astashahada za juu (Postgraduate Diploma) na Stashahada (Diploma) na Astashahada (Certificate). Pia, Chuo kinatoa Stashahada (Diploma) NA Astashahada (Certificate) katika fani zifuatazo;- (i) Uhasibu (Accountancy), (ii) Masoko (Marketing Management) (iii) Usimamizi wa Biashara (Business Administration), (iv) Manunuzi na Ugavi (Procurement and Supplies Management), (v) Vipimo na Mizani (Metrology and Standardization) na, (vi) TEHAMA (Information Technology)

Sifa za Kujiunga;-
- Astashahada (Certificate), muombaji awe amemaliza kidato cha nne, mwenye ufaulu wa angalau alama “D” nne, au mwenye NVA level 3.
- Stashahada (Diploma), muombaji awe amemaliza kidato cha sita, mwenye ufaulu wa angalau alama “E” (Principal pasi moja) na “S” (Subsidiary pasi moja), Au awe amefuzu ngazi ya cheti katika chuo kinachotambulika na NACTE.
Vilevile, Chuo kinatoa Shahada za Uzamili katika fani zifuatazo;-
i) Master of Information and Communication Technology for Development (ICT4D)
ii) Master of Information Technology - Project Management (IT-Project Management)
iii) Master of Supply Chain Management (MSCM)
iv) Master of International Business Management (MIBM)
v) Master of Business Administration (MBA) in;-
 Human Resources Management,
 Finance and Banking, `
 Marketing management.

Pia, Chuo kinatoa Stashahada za Uzamili (Postgraduate Diploma) katika fani zifuatazo;-
i) Postgraduate Diploma in Business Administration (PGDBA)
ii) Postgraduate Diploma in Accountancy (PGDA)
iii) Postgraduate Diploma in Procurement and Supplies Management (PGDPSM)
iv) Postgraduate Diploma in Marketing Management (PGDMM)
v) Postgraduate Diploma in Human Resources Management (PGDHRM)
vi) Postgraduate Diploma in International Business Management (PGDIBM)
vii) Postgraduate Diploma in Financial Management (PGDFM)
viii) Postgraduate Diploma in Project Management (PGDPM
ix) Postgraduate Diploma in Metrology and Standardization (PGDMS
Maombi yataanza kupokelewa 15 Juni, 2020 kwa njia ya mtandao kupitia tovuti ya Chuo www.cbe.ac.tz Au unaweza kufika katika kampasi zetu. Gharama za maombi ya kujiunga ni shilingi 10,000/= tu na ada zetu ni nafuu na zinalipwa kwa awamu. Tafadhali, ukipata ujumbe huu mjulishe na mwenzako, wahi mapema ili usipoteze fursa hii muhimu katika maisha.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia, barua pepe: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. au piga simu: DSM 0735 250 115/ Dodoma 0767 097 463/ Mwanza 0763 296 874/ Mbeya 0652 255 633
Karibuni sana.

CLICK HERE TO APPLY ONLINE

Prof. Tandi E. Lwoga
Deputy Rector – Academic, Research and Consultancy

History of CBE

The COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION (CBE) was established in 1965 by the Act of the Parliament. COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION Act No. 31 of 1965. His Excellency, J.K. Nyerere, the first President of the United Republic of Tanzania officially opened the new College in January 1965. The College was officially named the “College of Business Education” (CBE). The said Act of Parliament gives the College its legal status as an autonomous institution with its Governing Body. The College shall be governed and administered in accordance with the provisions of this Act.

CONTACT US

The origin of the College of Business Education (CBE) is closely linked to the history of the Nation itself.

Address : Bibi Titi Mohamed Rd. P. O. Box 1968, Dar es Salaam

Hotline : +255-022-2150177

light arrowCALL FOR PAPERS FOR BEDC2020, SEE DETAILS HERE