UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI WA MAJENGO CBE MBEYA

Rate this item
(1 Vote)
UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI WA MAJENGO CBE  MBEYA

pmweb

Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa Kassim (Wa tatu kutoka kushoto) akikagua majengo ya vyumba vya madarasa katika Chuo cha Elimu ya Biashara kampasi ya Mbeya katika siku maalumu ya uwekaji jiwe la msingi leo tarehe 30/11/2021. Jumla ya majengo yaliyokaguliwa leo ni vyumba vya mihadhara vinne ambavyo viwili kati ya hivyo vina uwezo wa kuchukua wanafunzi 300 kwa pamoja kila moja, vyumba viwili vyenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 150 kila moja pamoja na vyumba vinne vyenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 80 kila darasa moja. Majengo mengine yaliyokaguliwa ni computer lab pamoja majengo ya kujisitiri manne.Aidha, waziri mkuu kakipongeza chuo cha Elimu ya Biashara kwa uwezo uwezo wake uliouonyesha wa kutumia fedha za ndani kufanya maendeleo kama haya

History of CBE

The COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION (CBE) was established in 1965 by the Act of the Parliament. COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION Act No. 31 of 1965. His Excellency, J.K. Nyerere, the first President of the United Republic of Tanzania officially opened the new College in January 1965. The College was officially named the “College of Business Education” (CBE). The said Act of Parliament gives the College its legal status as an autonomous institution with its Governing Body. The College shall be governed and administered in accordance with the provisions of this Act.

CONTACT US

The origin of the College of Business Education (CBE) is closely linked to the history of the Nation itself.

Address : Bibi Titi Mohamed Rd. P. O. Box 1968, Dar es Salaam

Hotline : +255-022-2150177