Logo

MAFUNZO YA UPIMAJI WA MATENKI YA MAFUTA



Mafunzo ya Upimaji wa Matanki ya Mafuta

Mafunzo Yanayofundishwa

  • Mbinu za upimaji wa matanki ya mafuta
  • Usalama na taratibu za kudhibiti hatari
  • Teknolojia za kisasa za upimaji
  • Viwango vya kitaifa na kimataifa
  • Vipimo (WMA) na SADEC/EAC

Umuhimu wa Mafunzo

  • Utaalamu wa kisasa
  • Kufaulu kwa viwango vya kimataifa
  • Vyeti vya mafunzo
  • Kukuza mahusiano
  • Uboreshaji wa ufanisi

Gharama ya Mafunzo

Shilingi 200,000/- kwa mshiriki (Inajumuisha vifaa na vyeti)

Muda wa Mafunzo

27 Jan - 1 Feb | 2024

Mahali

CBE Kampasi ya Dar es Salaam

Sifa za Kujiunga

Elimu ya kidato cha nne au ufundi wa matanki na madereva wa magari ya mafuta

Mawasiliano

0765 880 888
0762 279 855
0622 112 455
0745 752 957

Au tembelea ofisi zetu zilizopo chuoni Dar es Salaam