MAFUNZO YA UPIMAJI WA MATENKI YA MAFUTA
Mafunzo ya Upimaji wa Matanki ya Mafuta
Mafunzo Yanayofundishwa
- Mbinu za upimaji wa matanki ya mafuta
- Usalama na taratibu za kudhibiti hatari
- Teknolojia za kisasa za upimaji
- Viwango vya kitaifa na kimataifa
- Vipimo (WMA) na SADEC/EAC
Umuhimu wa Mafunzo
- Utaalamu wa kisasa
- Kufaulu kwa viwango vya kimataifa
- Vyeti vya mafunzo
- Kukuza mahusiano
- Uboreshaji wa ufanisi
Gharama ya Mafunzo
Shilingi 200,000/- kwa mshiriki (Inajumuisha vifaa na vyeti)
Muda wa Mafunzo
27 Jan - 1 Feb | 2024
Mahali
CBE Kampasi ya Dar es Salaam
Sifa za Kujiunga
Elimu ya kidato cha nne au ufundi wa matanki na madereva wa magari ya mafuta
Mawasiliano
0765 880 888
0762 279 855
0622 112 455
0745 752 957
Au tembelea ofisi zetu zilizopo chuoni Dar es Salaam