Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Mbeya kwa kushirikiana na Mamlaka ya Uthibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) Kinawaletea Mafunzo kwa ajili ya kujenga uwezo wa utendaji kazi wenye tija na ufanisi kwa wahudumu wa mabasi ya abiria na vyombo vingine vya usafirishaji.